Kaimu mkuu wa Wilaya ya Nkasi akisoma hotuba yake kwenye mkutano uliowakutanisha wadau mbalimbali kujadili utekelezaji wa usalama wa uboreshaji wa Milki za ardhi unaoendelea katika Halmashauri ya Nkasi. Katika mkutano huo wadau walijadili faida mbalimbali watakazozipata wananchi baada ya kurasimisha milki ya ardhi zao.
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki