Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji katika Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi ina jumla ya Watumishi ishirini na mbili (22) na Wanne (04) Wakiwa kutoka idara ya Ushirika. Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi inategemea kilimo, ufugaji na Misitu kwa asilimia 78, wafanyabishara asilimia 11, watumishi wa umma na sekta binafsi asilimia 6 na shughuli nyingine asilimia 5. Sekta ya binafsi inachangiwa na makampuni na mashirika ya fedha ikiwemo mabenki ya National Microfinance Bank (NMB), National Bank of Commerce (NBC), CRDB, NJOCOBA na Saccos hai 13 zinazoendelea kutoa huduma za kifedha.
Mazao yanayolimwa katika Halmashauri ya Mji Njombe ni pamoja na;
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki