Kuelekea Maazimisho ya Miaka 60 ya Muungano yatakafanyika Tarehe 26/04/2024 wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya Nkasi wakiongozwa na Katibu Tawala Ndugu Torry Mkama na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Ladslaus Mzelela wamefanya usafi katika kituo cha Afya Nkomolo kilichopo mjini Namanyere.
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki