Kaimu mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mheshimiwa Lazaro Komba amezindua chanjo ya kuzuia saratani ya shingo ya kizazi kwa watoto wa kike. Chanjo hii ni muhimu kwa kuwa itawakinga watoto wa kike zidi ya saratani ya shingo ya kizazi.
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki