• malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi. |
Nkasi District Council
Nkasi District Council

Jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za mikoa na serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Dhima na Dira
      • Muundo wa Taasisi
    • Muundo wa Taasisi
    • Historia
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na rasilimali watu
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Maendeleo ya jamii
      • Elimu msingi.
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na mitambo
      • Ardhi na maliasili
      • Kilimo na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA
    • Muundo wa taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa kwa umma
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Community Development and social Wellfare

SHUGHULI ZINAZOTEKELEZWA NA PROGRAM YA UKIMWI

  1. Kuratibu, kupanga na kusimamia utekelezaji wa shughuli zote za VVU na UKIMWI zinazotekelezwa katika Halmashauri ya Mji kwa kushirikiana na wadau mbalimbali.
  2. Kuandaa na kuwasilisha taarifa za utekelezaji wa shughuli za program ya UKIMWI za kila robo mwaka, nusu mwaka na mwaka mzima na kuziwasilisha ngazi ya Halmashauri na Mkoa.
  3. Kubaini mahitaji na kuandaa mpango kazi wa kujenga uwezo miongoni mwa wadau wanaoshughulika na afua za UKIMWI katika Halmashauri.
  4. Kufuatilia, kutathimini na kubaini  vichocheo vya maambukizo ya VVU na maeneo hatarishi yanayosababisha kasi kubwa ya maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI.
  5. Kuwa kiungo kati ya Halmashauri na wadau wengine katika utekelezaji wa shughuli za VVU na UKIMWI katika Halmashauri 


SHUGHULI ZINAZOTEKELEZWA NA DAWATI LA UWEZESHAJI WANACHI  KIUCHUMI

  1. Kutafsiri na kusimamia utekelezaji wa Sera na Sheria ya Taifa ya Uwezeshaji Wananchi kiuchumina Mkakati wa Taifa wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi katika Halmashauri
  2. Kukusanya taarifa na tafiti mbalimbali na kumshauri Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri  katika masuala ya Uwezeshaji Kiuchumi na Ushiriki wa Watanzania
  3. Kuhakikisha kuwa Halmashauri inahusisha suala la hifadhi ya mazingira na mabadiliko ya Tabia Nchi katika mipango ya maendeleo ya Halmashauri  ilikuboresha mazingira ambayo ni muhimu katika suala zima la uzalishaji wa mazao ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
  4. Kubuni na kutafuta vyanzo vya rasilimali kwa ajili ya shughuli za uwezeshaji katika Halmashauri
  5. Kuratibu na kuhamasisha uanzishwaji na uendelezaji wa Vikundi vya kiuchumi kama SACCOS, VICOBA na vinginevyo vinavyosajili 
  6. Kubuni fursa mbalimbali za uwekezaji katika Halmashauri
  7. Kushauri namna ya uboreshaji wa vituo vidogo vidogo vya kibiashara hususani katika Vijiji na Kata


MAJUKUMU YA KITENGO CHA VIJANA

  1. Kuwawezesha Vijana kiuchumi kwa kuwapatia mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana wa Wilaya (YDF) na wa Mfuko wa Maendeleo ya Vijana wa Wizara
  2. Uratibu na Uhamasishaji
  3. Kuwa na kuweka takwimu muhimu zinazohusu Vijana na kuzifanyia kazi
  4. Kuhamasisha vijana kujiunga katika vikundi vya uzalishaji mali na vikundi vya kuweka na kukopa na kujiunga na SACCOS)
  5. Kuratibu, kufuatiliia na kutekeleza  shughuli za Vijana mfano, Vikundi vya uzalishaji mali, Mfuko wa Maendeleo ya Vijana wa wilaya (YDF) na Wizarani
  6. Kutoa ushauri wa kitaalam na kisheria wa masuala ya Vijana
  7. Kuhimiza vijana katika shughuli za kujitolea
  8. Kuvipa usajili vikundi vya ujasiriamali vya kijamii.
  9. Kusimamia utoaji na urejeshaji wa wamikopo ya vikundi vya Vijana.
  10. Mafunzo na Maendeleo ya Ujuzi
  11. Kuandaa na kutoa mafunzo kwa Vijana katika masuala ya ujasiriamali,stadi za kazi, upangaji na uendeshaji wa miradi na uongozi
  12. Kuandaa mafunzo ya kuwajengea uwezo Vijana  (capacity building)
  13. Ushauri Nasaha Makuzi na Maongozi
  14. Kutoa ushauri nasaha kwa vijana kuhusiana na masuala ya afya , stadi za maisha na elimu juu dhidi ya VVU na UKIMWI na dawa za kulevya
  15. Kutoa elimu ya afya ya uzazi kwa Vijana na stadi za maisha
  16. Kutoa elimu ya maadili mema kwa Vijana ili waweze kujitambua na kuishi vizuri katika jamii
  17. Kukuza dhana ya jinsia miongoni mwa vijana katika utekelezaji wa shughuli za maendeleo.

Matangazo

  • TANGANZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 04, 2025
  • Onesha zote

Taarifa mpya

  • MKUU WA MKOA AIPONGEZA HALMASHAURI YA NKASI

    June 11, 2025
  • Onesha zote

Video

HOTUBA YA MH.MKUU WA WILAYA NKASI
Video za hivi punde

Ukurasa wa karibu

  • Utumishi wa umma
  • Ofisi ya Rais,Tawala za mikoa na serikali za mitaa
  • Mfumo wa manunuzi nest
  • Employee Self Service

Kurasa zinazofanana.

  • Tovuti ya mkoa wa Rukwa
  • Wizara ya elimu sayansi na teknolojia
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Baraza la mitihani
  • Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia
  • Wizara ya mambo ya ndani ya nchi.
  • Wizara ya Kilimo
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Utumishi Portal

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    Nkasi District Council

    Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi

    Simu: +255252830006

    Simu ya mkononi: +255252830006

    Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Haki miliki