Kitengo hiki kina jumla ya watumishi saba (07). Kazi kubwa ya kitengo cha Ugavi na Manunuzi ni kuhakikisha mahitaji ya taasisi (Halmashauri ya Wilaya Nkasi) yanapatikana kwa kuzingatia ubora,muda muafaka wa utoaji huduma, mzabuni,mahali na gharama.Kwa maana nyingine hujulikana kama 5R’s.
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki