Katibu Tawala wa Wilaya ya Nkasi Ndugu Torry Mkama na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nkasi ndugu Vareliana Mwapasi wakiongoza kikao cha maandalizi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru zitakazofanyika kati ya Tarehe 5/09/2024 na 8/09/2024. Kikao hicho kilianza kwa kutathimini Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 ambapo mratibu wa Mbio za Mwenge aliwasomea wajumbe vigezo vinavyotumika kutoa alama mafanikio katika shughuli za mbio za Mwenge.
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki