HUDUMA ZA SEKTA YA MIFIGO HALMASHAURI NKASI
Kufanya Matibabu ya Magonjwa ya Mifugo.
Kufanya ukaguzi wa Nyama ili kulinda Afya ya jamii.
Kufanya ukaguzi wa Afya za Mifugo kabla ya kusafiri ili kuepuka usambazaji wa Magonjwa.
Kusimamia udhibiti wa Magonjwa ya Wanyama kwa njia mbalimbali.
Kukusanya takwimu za Mifugo na Mazao yatokanayo na Mifugo kama Nyama, Ngozi, Mayai na Maziwa kwa matumizi mbalimbali.
Kutoa ushauri kwa Wafugaji jinsi ya kukinga Mifugo dhidi ya Magonjwa.
Kutoa Elimu ya Ufugaji bora kupitia huduma za Ugani.
Kubuni na Kusimamia Ujenzi wa Miundombinu ya Mifugo kama vile Majosho,Machinjio,Vibanio,Vituo vya kukusanyia Maziwa na Miundombinu inayohusiana na Ufugaji bora.
Kushauri Wafugaji kuhusu mbinu bora za kuzalisha Maziwa na Utunzaji wa Ndama.
Kusimamia Minada ya Mifugo.
Kudhibiti Viuatilifu na Madawa ya kutibu Wanyama.
Kusimamia Nyanda za Malisho na kuhamasisha Wafugaji kupanda Malisho.
Kuandaa taarifa mbalimbali kuhusu Sekta ya Mifugo katika Wilaya
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki