Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi ndugu Ladislaus Mzelela akiwa na kikao cha ndani na Watumishi kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi kabla ya kikao cha kujadili ufungaji wa shughuli za Uvuvi katika Ziwa Tanganyika. Shughuli za Uvuvi katika Ziwa Tanganyika zinatarajiwa kufungwa kwa muda kuanzia tarehe 15/05/2024 hadi tarehe 15/08/2024.
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki