Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii imetoa fomu kwa ajili ya Maombi ya Mikopo kutoka kwenye Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu. Kupakua fomu hiyo bofya hapa Fomu ya Mikopo.pdf
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki