Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Nkasi Kaskazini na Kusini anawatangazia waombaji wa nafasi ya Wasimamizi wa Vituo na Makarani kufika kwenye usaili tarehe 06/10/2025 katika Ofisi za Kata walikoombea maombi yao. Kwa taarifa zaidi bofya kiunganishi hiki TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI.pdf
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki