Mh Pancras Malyatabu ni diwani wa Kata ya Mtenga na pia kwa sasa ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Nkasi.
Mh Anawakaribisha sana wana Nkasi ili kuweza kuijenga Nkasi yetu kwa kuongeza ufanisi wa kazi na kukusanya mapato mengi
ya kutosha ili tuweze kuijenga Halmashauri yetu.Tuboreshe vituo vyetu vya Afya na zahanati ili kupata huduma bora za Afya.
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki