• malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi. |
Nkasi District Council
Nkasi District Council

Jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za mikoa na serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Dhima na Dira
      • Muundo wa Taasisi
    • Muundo wa Taasisi
    • Historia
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na rasilimali watu
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Maendeleo ya jamii
      • Elimu msingi.
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na mitambo
      • Ardhi na maliasili
      • Kilimo na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA
    • Muundo wa taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa kwa umma
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA MKOA AIPONGEZA HALMASHAURI YA NKASI

Imewekwa tarehe: June 11th, 2025

MKUU wa Mkoa Rukwa Charles Makongoro Nyerere ameipongeza halmashauri ya Wilaya ya Nkasi kwa kupata hati safi na kuwa hicho ni kielelezo cha ushirikiano mzuri kati ya watendaji wa halmashauri ,madiwani na wadau wengine katika kuona halmashauri inasonga mbele.

Pongezi hizo amezitoa leo Juni 11,2025 kwenye kikao maalumu cha Baraza la Madiwani kuhusu utekelezaji wa hoja za ukaguzi na mapendekezo ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kwa mwaka 2023-24 ambapo amesema kuwa katika msimu uliopita kulikua na hoja nyingi za ukaguzi lakini kwa sasa zimepungua mno na kuona kwamba kuna kitu kinafanyika ndani ya halmashauri.

Amesema kuwa amefurahishwa na namna ambavyo imekuwa ikijishughulisha na ufutaji wa hoja mbalimbali zilizojitokeza kwa kutolea mfano kuwa kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Aprili 2025 halmashauri ya wilaya Nkasi ilionyesha kuwa na hoja za miaka ya nyuma 21 na hivyo kufanya kuwa na hoja 38 na maagizo 4 yenye vipengele 10 ya kamati ya kudumu ya bunge ya hesabu za serikali (LAAC) ambapo maagizo hayo mengi yapo katika ya utekelezaji na hoja nyingi kufutwa.
Kufuatia hali hiyo Mkuu huyo wa Mkoa amependa kusisitiza baadhi ya hoja ambazo inatakiwa kufanyika kwa haraka kuwa ni mwenendo wa ukusanyaji wa mapato ya ndani kwa mwaka 2023/24,usimamizi wa manunuzi na miradi ya maendeleo,usimamizi wa Rasilimali watu na mali za halmashauri,usimamizi wa matumizi ,upimaji wa ufanisi na utekelezaji wa mpango na bajeti.

Matangazo

  • TANGANZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU April 04, 2025
  • Onesha zote

Taarifa mpya

  • MKUU WA MKOA AIPONGEZA HALMASHAURI YA NKASI

    June 11, 2025
  • Onesha zote

Video

HOTUBA YA MH.MKUU WA WILAYA NKASI
Video za hivi punde

Ukurasa wa karibu

  • Utumishi wa umma
  • Ofisi ya Rais,Tawala za mikoa na serikali za mitaa
  • Mfumo wa manunuzi nest
  • Employee Self Service

Kurasa zinazofanana.

  • Tovuti ya mkoa wa Rukwa
  • Wizara ya elimu sayansi na teknolojia
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Baraza la mitihani
  • Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia
  • Wizara ya mambo ya ndani ya nchi.
  • Wizara ya Kilimo
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Utumishi Portal

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    Nkasi District Council

    Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi

    Simu: +255252830006

    Simu ya mkononi: +255252830006

    Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Haki miliki