Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi ndugu Afuraha N. Hassan anatangaza uwepo wa fedha kwa ajili ya kuvikopesha vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, kupata taarifa zaidi bofya kiunganishi hapa chini.
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki