Sunday 22nd, December 2024
@
Mh.Mkuu wa mkoa wa Rukwa ndugu Zelote Stephen Zelote amefanya ziara ya kikazi wilayani Nkasi na kutembelea maeneo mbalimbali yakiwemo shule mpya za msingi zinazojengwa zenye idadi kubwa ya wanafunzi ikiwemo Isunta,na vile vile ametembelea shule ya sekondari Kirando na kujionea vifaa vipya vya maabara,vilevile alitembelea mradi wa umwagiliaji wa lwafi katongoro na eneo la mwaloni Kirando na kuchoma nyavu haramu zilizokamatwa zikivua samaki wasioruhusiwa kuvuliwa.
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki