Imewekwa tarehe: October 15th, 2018
Walimu wa shule za sekondari wilayani Nkasi wametakiwa kuachana na mawazo ya kuiba mitihani ya taifa kwa lengo la kuwawezesha Watoto wao kufaulu bali wanachjotakiwa kukifanya ni kufundisha kwa b...
Imewekwa tarehe: October 11th, 2018
Wanachama wa Bank za VICOBA wametakiwa kuendesha vikundi vyao kwa kufuata katiba na misingi waliyojiwekea na hiyo ndiyo siri kubwa ya kuweza kudumisha vikundi hivyo.
Wito huo umetolewa jana na mene...
Imewekwa tarehe: October 11th, 2018
Baadhi ya viongozi wa dini na viongozi wa Kimila wilayani Nkasi mkoani Rukwa wamelalamikia kitendo cha kupuuzwa kwa baadhi ya mila na desturi kuwa ni miongoni mwa sababu zinazochangia ongezeko la mimb...