Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Nkasi Ndg.William Mwakalambile akiambatana na wakuuwa idara katika ukaguzi wa miradi ya vyoo vinavyojengwa kwa hisani ya ya shirika la PLAN INTERNATIONAL Nkasi vinavyojengwa katika vijiji vya Nkomolo,Ntuchi,Matala na Nchenje ambapo Mkurugenzi amekiri kuridhika na kasi ya ujenzi wa miradi hiyo.
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki