• malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi. |
Nkasi District Council
Nkasi District Council

Jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za mikoa na serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Dhima na Dira
      • Muundo wa Taasisi
    • Muundo wa Taasisi
    • Historia
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na rasilimali watu
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Maendeleo ya jamii
      • Elimu msingi.
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na mitambo
      • Ardhi na maliasili
      • Kilimo na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA
    • Muundo wa taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa kwa umma
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MHE. LIJUALIKALI ATOA NENO KWA KAMATI TENDAJI YA WILAYA YA USIMAMIZI WA MAAFA

Imewekwa tarehe: January 21st, 2026

Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Mheshimiwa Peter Lijualikali amepongeza Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu kwa namna ilivyoratibu zoezi la uandaaji wa Rasimu za Nyaraka za Usimamizi wa Maafa kwa Wilaya yake huku akiwasihi wajumbe wa kamati kuzitumia kama ilivyokusudiwa mara baada ya uzinduzi utakaofanyika hivi karibuni.


Ameyasema hayo leo tarehe 20 Januari, 2026 wakati wa kikao cha Kamati Elekezi ya Wilaya ya Usimamizi wa Maafa ikihudhuriwa na timu ya wajumbe hao wakiongozwa na mkuu wa Wilaya huyo ambaye ndiye Mwenyekiti wa Kamati.


“Kipekee nawapongea Ofisi ya Waziri Mkuu na UNICEF kwa kuona umuhimu wa kuja katika Wilaya yetu ya Nkasi, na tutahakikisha kile mlichokifanya hapa Nkasi kinaleta matokeo chanya hasa kwa elimu tuliyoipata ya masuala ya usimamizi wa maafa hususani katika kuzuia na kujiandaa ili kusiwe na athari kubwa endapo majanga yatatokea,” alieleza Mhe. Lijualikali.


Naye Mratibu wa Maafa Mkoa wa Rukwa Bi. Aziza Kalyatila amesema ipo haja ya kuendelea kupewa elimu zaidi ya masuala ya usimamizi wa maafa kwani itasaidia katika kuwajengea uwezo wa kuzuia, kujiandaa, kukabili, na kurejesha hali pindi maafa yanapotokea.


Kikao hicho kimeandaliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) pamoja na timu ya wataalamu kutoka ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi kikilenga kuwapitisha katika nyaraka zilizoandaliwa kwa ajili ya matumizi ya Halmashauri ambazo ni Tathmini ya Vihatarishi vya Majanga, Uwezekano wa Kuathirika na Uwezo wa Kukabiliana na Majanga, rasimu ya Mpango wa Kujiandaa na Kukabiliana na Maafa pamoja na rasimu ya Mkakati wa kupunguza vihatarishi vya maafa.


=MWISHO=

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 03, 2025
  • TAARIFA YA MAFUNZO ELEKEZI KWA WALIMU WALIOAJIRIWA KATIKA UTUMISHI WA UMMA 2025 July 09, 2025
  • Onesha zote

Taarifa mpya

  • MHE. LIJUALIKALI ATOA NENO KWA KAMATI TENDAJI YA WILAYA YA USIMAMIZI WA MAAFA

    January 21, 2026
  • WATUMISHI MAKAO MAKUU NKASI WAPATA MAFUNZO YA KUJIKINGA NA MOTO.

    October 09, 2025
  • MAADHIMISHO YA WIKI YA ELIMU YA WATU WAZIMA NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI

    September 02, 2025
  • MASHINDANO YA RIADHA YATIMUA VUMBI LEO SHIMISEMITA TANGA

    August 21, 2025
  • Onesha zote

Video

HOTUBA YA MH.MKUU WA WILAYA NKASI
Video za hivi punde

Ukurasa wa karibu

  • Utumishi wa umma
  • Ofisi ya Rais,Tawala za mikoa na serikali za mitaa
  • Mfumo wa manunuzi nest
  • Employee Self Service

Kurasa zinazofanana.

  • Tovuti ya mkoa wa Rukwa
  • Wizara ya elimu sayansi na teknolojia
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Baraza la mitihani
  • Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia
  • Wizara ya mambo ya ndani ya nchi.
  • Wizara ya Kilimo
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Utumishi Portal

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    Nkasi District Council

    Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi

    Simu: +255252830006

    Simu ya mkononi: +255252830006

    Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Haki miliki