Mafunzo ya uingizwaji taarifa kwenye mfumo wa FFars yameendelea kutolewa na wataalam toka mradi wa Ps3 wakishiriana na maafisa Tehama kutoka halmashauri ya wilaya Nkasi na yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwani waalimu wengi na wahasibu wa vituo vya afya pamoja na zahanati wameingiza taarifa kwa ufanisi na uhakika.
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki