Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga ameongoza wakazi wa Wilaya ya Nkasi na mkoa wa Rukwa katika maadhimisho ya UKIMWI duniani yaliyofanyika Kata ya Kirando Wilaya ya Nkasi.Maadhimisho haya hufanyika kila mwaka Desemba mosi ambapo kauli mbiu mwaka huu ni IMARISHA USAWA WA KIJINSIA.
Takwimu za mkoa wa Rukwa kwa mujibu wa Takwimu za viashiria vya VVU Na UKIMWI kwa mwaka 2011/2012 Mkoa umeweza kushusha kiwango cha maambukizi kutoka 6.2% hadi kufikia 4% mwaka 2016/17 kwa mwaka 2021/2022 mkoa uliweka lengo la kupima watu 151,202 na umefanikiwa kupima watu 120,555 sawa na asilimia 80% kati yao Wanawake ni 68254 sawa na 57% na wanaume 52301 sawa na 43% katika huduma hiyo wanaume 1597 walibainika kuwa na Maambukizi ya VVU na Wanawake 2045 walibainika kuwa na maambukizi mapya ambapo waliunganishwa kwenye tiba,kundi lenye maambukizi ya juu Zaidi ni kuanzia miaka 25 hadi 49.
Katika hotuba yake Sendiga amesema kuwa Serikali imeendelea kuboresha huduma za utoaji na upatikanaji wa dawa za kufubaza Virusi vya UKIMWI ili kupunguza makali ya ugonjwa huo bure,lakini pia amewataka wataalamu wa tiba kutoa majibu kwa wakati ya maradhi kwa wote wanaochangia damu ili waweze kuchukua hatua za tiba na ushauri mapema.”Tunahitaji elimu ya kutosha kwamba mama anapopima sio kipimo chako lazima upime ili na wewe uweze kujihakikishia uhakika wa afya yako,tulisahau kama UKIMWI hivyo kama tulivyochukua tahadhari wakati wa COVID ndivyo tuendelee kuchukua tahadhari hizo dhidi ya VVU”.MAADHIMISHO YA UKIMWI DUNIANI KIMKOA WILAYA YA NKASI KATA YA KIRANDO.

Katika hotuba yake Sendiga amesema kuwa Serikali imeendelea kuboresha huduma za utoaji na upatikanaji wa dawa za kufubaza Virusi vya UKIMWI ili kupunguza makali ya ugonjwa huo bure,lakini pia amewataka wataalamu wa tiba kutoa majibu kwa wakati ya maradhi kwa wote wanaochangia damu ili waweze kuchukua hatua za tiba na ushauri mapema.”Tunahitaji elimu ya kutosha kwamba mama anapopima sio kipimo chako lazima upime ili na wewe uweze kujihakikishia uhakika wa afya yako,tulisahau kama UKIMWI hivyo kama tulivyochukua tahadhari wakati wa COVID ndivyo tuendelee kuchukua tahaMAADHIMISHO YA UKIMWI DUNIANI KIMKOA WILAYA YA NKASI KATA YA KIRANDO.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga ameongoza wakazi wa Wilaya ya Nkasi na mkoa wa Rukwa katika maadhimisho ya UKIMWI duniani yaliyofanyika Kata ya Kirando Wilaya ya Nkasi.Maadhimisho haya hufanyika kila mwaka Desemba mosi ambapo kauli mbiu mwaka huu ni IMARISHA USAWA WA KIJINSIA.
Takwimu za mkoa wa Rukwa kwa mujibu wa Takwimu za viashiria vya VVU Na UKIMWI kwa mwaka 2011/2012 Mkoa umeweza kushusha kiwango cha maambukizi kutoka 6.2% hadi kufikia 4% mwaka 2016/17 kwa mwaka 2021/2022 mkoa uliweka lengo la kupima watu 151,202 na umefanikiwa kupima watu 120,555 sawa na asilimia 80% kati yao Wanawake ni 68254 sawa na 57% na wanaume 52301 sawa na 43% katika huduma hiyo wanaume 1597 walibainika kuwa na Maambukizi ya VVU na Wanawake 2045 walibainika kuwa na maambukizi mapya ambapo waliunganishwa kwenye tiba,kundi lenye maambukizi ya juu Zaidi ni kuanzia miaka 25 hadi 49.
Katika hotuba yake Sendiga amesema kuwa Serikali imeendelea kuboresha huduma za utoaji na upatikanaji wa dawa za kufubaza Virusi vya UKIMWI ili kupunguza makali ya ugonjwa huo bure,lakini pia amewataka wataalamu wa tiba kutoa majibu kwa wakati ya maradhi kwa wote wanaochangia damu ili waweze kuchukua hatua za tiba na ushauri mapema.”Tunahitaji elimu ya kutosha kwamba mama anapopima sio kipimo chako lazima upime ili na wewe uweze kujihakikishia uhakika wa afya yako,tulisahau kama UKIMWI hivyo kama tulivyochukua tahadhari wakati wa COVID ndivyo tuendelee kuchukua tahadhari hizo dhidi ya VVU”.MAADHIMISHO YA UKIMWI DUNIANI KIMKOA WILAYA YA NKASI KATA YA KIRANDO.
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga ameongoza wakazi wa Wilaya ya Nkasi na mkoa wa Rukwa katika maadhimisho ya UKIMWI duniani yaliyofanyika Kata ya Kirando Wilaya ya Nkasi.Maadhimisho haya hufanyika kila mwaka Desemba mosi ambapo kauli mbiu mwaka huu ni IMARISHA USAWA WA KIJINSIA.
Takwimu za mkoa wa Rukwa kwa mujibu wa Takwimu za viashiria vya VVU Na UKIMWI kwa mwaka 2011/2012 Mkoa umeweza kushusha kiwango cha maambukizi kutoka 6.2% hadi kufikia 4% mwaka 2016/17 kwa mwaka 2021/2022 mkoa uliweka lengo la kupima watu 151,202 na umefanikiwa kupima watu 120,555 sawa na asilimia 80% kati yao Wanawake ni 68254 sawa na 57% na wanaume 52301 sawa na 43% katika huduma hiyo wanaume 1597 walibainika kuwa na Maambukizi ya VVU na Wanawake 2045 walibainika kuwa na maambukizi mapya ambapo waliunganishwa kwenye tiba,kundi lenye maambukizi ya juu Zaidi ni kuanzia miaka 25 hadi 49.
Katika hotuba yake Sendiga amesema kuwa Serikali imeendelea kuboresha huduma za utoaji na upatikanaji wa dawa za kufubaza Virusi vya UKIMWI ili kupunguza makali ya ugonjwa huo bure,lakini pia amewataka wataalamu wa tiba kutoa majibu kwa wakati ya maradhi kwa wote wanaochangia damu ili waweze kuchukua hatua za tiba na ushauri mapema.”Tunahitaji elimu ya kutosha kwamba mama anapopima sio kipimo chako lazima upime ili na wewe uweze kujihakikishia uhakika wa afya yako,tulisahau kama UKIMWI hivyo kama tulivyochukua tahadhari wakati wa COVID ndivyo tuendelee kuchukua taha
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki