Mkuu wa wilaya Nkasi @lijualikaliofficial akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa kata ya Majengo mara baada ya kuzindua chumba cha darasa ambacho kilijengwa kwa nguvu za wananchi kupitia Songambele na serikali ya awamu ya sita chini ya mh.@samia_suluhu_hassan
ilitoa kiasi Tsh 12,500,000/= kwa ajili ya umaliziaji.
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki