Leo tarehe 13,juni 2023 mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Nkasi Ndg. Wiliam Mwakalambile akiambatana na Meneja wa benki ya NMB wilaya pamoja na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya nkasi wakiwa katika kikao kujadili juu ya mchango wa benki ya NMB kwa wafanyakazi hao pamoja na namna ya kutatua changamoto mbalimbali ili kurahisisha huduma za kibenki kwa wafanyakazi haokama vile mikopo na huduma nyingine za kibenki.
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki