Unaweza kutuma maombi ya kuandikisha vitambulisho vya Taifa kwa kuandika barua kwa afisa wa NIDA wilaya ya Nkasi na ukiwa umeambatanisha vyeti vyako halisi vya masomo ,cheti cha kuzaliwa na kama una ujuzi wa kutumia compyuta.
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki