Makaa ya mawe ni bidhaa muhimu katika viwanda mbalimbali.Katika wilaya yetu ya Nkasi makaa ya mawe yanapatikana kwa wingi na kuchimbwa katika kijiji cha Nkomolo ii na wawekezaji ambao ni kampuni ya kigeni hivyo kufanya shughuli za kiuchumi za kijiji cha Nkomolo ii kuongezeka pamoja na vijiji vya jirani.Hii ni kwa sababu watu watauza mazao yao,chakula nk.
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki