Nikiwa kama Mkurugenzi Mtendaji nawaalika watu wote tushirikiane ili tuweze kuleta maendeleo ya Halmashauri yetu.
Tuongeze bidii ya kukusanya Mapato kwa kushirikiana wote ili kuleta tija kwenye halmashauri yetu.
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki