Imewekwa tarehe: July 22nd, 2019
Madaktari bingwa kutoka Italia wapatao 32 watafika wilayani Nkasi na
kutoa tiba kwa wagongwa wenye matatizo mbalimbali ya kiafya.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mkuu wa wilaya Nkasi ...
Imewekwa tarehe: July 19th, 2019
Serikali wilayani Nkasi mkoani Rukwa imeteketeza TANI mbili ya samaki
wakavu waliobainika kuhifadhiwa kwa kutumia sumu kinyume na sheria ya
Mamlaka ya chakula na dawa TFDA Na,30(1)a,...
Imewekwa tarehe: April 7th, 2019
Mwenge wa Uhuru unatarajia kuzindua na kuweka mawe ya msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Nkasi yenye thamani ya zaidi Tshs,Bil.29
Mwenge huo unatarajia kukimbizwa wilayani Nkasi ...