• malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi. |
Nkasi District Council
Nkasi District Council

Jamhuri ya muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi Tawala za mikoa na serikali za mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi

  • Nyumbani
  • Kuhusu sisi
    • Dhima na Dira
      • Muundo wa Taasisi
    • Muundo wa Taasisi
    • Historia
  • Utawala
    • Idara
      • Idara ya Fedha
      • Utawala na rasilimali watu
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Maendeleo ya jamii
      • Elimu msingi.
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Ujenzi na mitambo
      • Ardhi na maliasili
      • Kilimo na ushirika
      • Mifugo na uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA
    • Muundo wa taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Utawala na Mipango
      • Elimu, Afya na Maji
      • Ujenzi, Uchumi na Mazingira
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa kwa umma
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Ujio wa Mwenge wa Uhuru Wilaya ya Nkasi

Sunday 7th, March 2021
@Wilaya ya Nkasi

Wilaya Nkasi mkoani Rukwa imejipanga kwa ajiri ya kuupokea Mwenge wa Uhuru mwaka huu na miradi yenye zaidi ya shilingi bilioni moja inatarajia kuzinduliwa

Akitoa taarifa kwenye kikao cha kamati ya Mwenge cha Wilaya  Mkuu wa Wilaya Nkasi Mh. Said M. Mtanda amesema  mpaka sasa maandalizi yote ya awali yamekamilika na kuwa Mwenge huo wa Uhuru utawasili wilayani Nkasi April 7 na mkesho wa Mwenge utakua katika kata ya Kirando

Mwenge huo utapokelewa katika kijiji cha Kizi ukitokea Mkoani Katavi na kuanza kukimbizwa Wilayani Nkasi ambapo utakwenda Lyazumbi, Paramawe, Mwai, Mkole na Ipanda.

Baada ya hapo Mwenge huo wa Uhuru utakimbizwa mjini Namanyere katika eneo la Majengo, Isunta, Nkomolo, Masolo, Katongoro na Kirando utakakofanyika mkesha wa Mwenge na kesho yake Mwenge huo utakibidhiwa Wilayani Kalambo katika Kijiji cha Katuka

Matangazo

  • WANAFUNZI ALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 BWENI MKOA WA RUKWA. December 18, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA KATIBU MUHTASI NA MTUNZA KUMBUKUMBU March 02, 2021
  • Onesha zote

Taarifa mpya

  • Madaktari bingwa kutoka Italia wapatao 32 watafika wilayani Nkasi na kutoa tiba kwa wagongwa wenye matatizo mbalimbali ya kiafya

    July 22, 2019
  • Serikali wilayani Nkasi mkoani Rukwa imeteketeza TANI mbili ya samaki wakavu waliobainika kuhifadhiwa kwa kutumia sumu

    July 19, 2019
  • Mwenge wa Uhuru unatarajia kuzindua na kuweka mawe ya msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Nkasi yenye thamani ya zaidi Tshs,Bil.29

    April 07, 2019
  • Walimu waaswa kuachana na mawazo ya kuiba mitihani

    October 15, 2018
  • Onesha zote

Video

Ziara ya Waziri Mkuu Wilaya ya Nkasi
Video za hivi punde

Ukurasa wa karibu

  • Utumishi wa umma
  • Ofisi ya Rais,Tawala za mikoa na serikali za mitaa

Kurasa zinazofanana.

  • Tovuti ya mkoa wa Rukwa
  • Wizara ya elimu sayansi na teknolojia
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Baraza la mitihani
  • Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia
  • Wizara ya mambo ya ndani ya nchi.
  • Wizara ya Kilimo
  • Tovuti kuu ya Serikali
  • Wakala wa serikali mtandao
  • Utumishi Portal

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    Nkasi District Council

    Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi

    Simu: +255252830006

    Simu ya mkononi: +255252830006

    Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Haki miliki