Kilimo katika wilaya yetu ni shughuli ya kiuchumi ambayo inawaingizia wananchi wengi kipato.Kilimo hicho ni kama kilimo cha Mahindi,Maharagwe,Alizeti,Ufuta na mazao mengineyo mengi ambayo yanauzwa na kuwapatia wananchi kipato chao na hivyo kujikwamua kimaisha kwa kupata mahitaji muhimu.
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki