Tafadhali jihusishe na kichwa cha habari hapo juu.
Napenda kuwa taarifu kuwa vikao vya Halmashauri kwa robo ya tatu kwa mwaka 2016/2017 vitafanyika kwa ratiba kama ifuatavyo:-
Mabadiliko hayo yametokana na kupata taarifa ya mafunzo ya hayo ya Wahe,Madiwani.
Kwa barua hii naomba radhi kwa usumbufu utakao jitokeza kutokana na mabadiliko hayo.
Nawatakia utekelezaji mwema.
Nkasi District Council
Anwani ya posta: P. O. Box 2, Namanyere - Nkasi
Simu: +255252830006
Simu ya mkononi: +255252830006
Barua pepe: ded@nkasidc.go.tz
Haki miliki